Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

MAAFALI YA 11 YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA

24 Jan, 2023

Tarehe 29 Julai 2023 Kutakuwa na Sherehe za Mahafli ya 11 ya Chuo cha Ulinzi cha Taifa yatakayofanyika katika viwaja vya Chuo Kunduchi Dar es Salaam Tanzania.