Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA

05 Sep, 2022 - 08 Sep, 2022
08:00:00 - 14:00:00
KINONDONI
info@ndctz.go.tz

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania ukiongozwa na Katibu wa Chuo Kanali AS Kagombola wa pili kutoka kushoto, ukimsikiliza mwakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima kilichopo Mtaa wa Basihaya katika Wilaya ya Kinondoni  walipotembelea kituo hicho katika kuelekea kusheherekea miaka 10 ya Chuo yaliyofanyika tarehe 08/09/2022.

MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA