Chuo cha Taifa cha Ulinzi

Balozi wa China (Tanzania) atembelea NDC)

Imewekwa: 08, April 2019

Balozi wa China - Tanzania Mhe. Wang Ke atembelea Chuo cha Taifa Cha Ulinzi (NDC) kwa ajili ya kutoa mhadhara kuhusu "Sera ya Mambo Ya Nje ya China "kwa Washiriki wa Kozi ya Saba ya NDC - 2018/19 tarehe 04 Aprili, 2019

Haki zote zimehifadhiwa. © Chuo cha Taifa cha Ulinzi 2022.