Balozi John Ulanga – Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi, akitoa muhtasari kwa wanakitivo na washiriki wa kozi ya kumi na nne wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania, jinsi Tanzania inavyo shughulikia sera za nje wakati wa ziara ya kimafunzo kwa vyombo vya ulinzi na usalama tarehe 11 Machi 2026.