Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Balozi Luteni Jenerali YH Mohamed (mstaafu) - Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, awasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa Mhadhara kwa washiriki wa kozi ya Kumi na mbili tarehe 03 Januari 2024.