Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Balozi Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge – Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania na Mkuu wa Msafara

Balozi Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge – Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania na Mkuu wa Msafara (wa pili toka kushoto waliokaa), katika picha ya Pamoja na Bw. Makame Kitwana Makame – Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Kilimo (aliyekaa Katikati), Bw. Rashid Salim – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kazi na Uwekezaji Zanzibar Pamoja na Wanakitivo wakati walipokuwa katika ziara ya kimafunzo Zanzibar tarehe 05 Mei, 2026.

slot gacor