Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Brigedia Jenerali Charles Ndiege - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi kavu na Mkuu wa Msafara wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania (kushoto), alipowasili katika ofisi ya Kamishna Jenerali wa Magereza Jeremiah Katundu kwa Ziara ya Kimafunzo tarehe 12 Machi, 2025.