Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Brigedia Jenerali CJ Ndiege – Mkufunzi Mwandamizi Elekezi jeshi la ardhini akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Katika ofisi ya Tume ya Madini – Kituo cha Umahiri wakati wa ziara ya kimafunzo iliyofanyika tarehe 09 Januari 2024.