Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Brigedia Jenerali MK Matunda – Mkuu wa Ujumbe kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania (aliyekaa katikati), katika picha ya Pamoja na Bw. Richard Bulluma – Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho (aliyekaa kushoto), Wakufunzi Waandamizi Elekezi na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne baada ya kutembelea Makumbusho ya Wasukuma, Bujora Mkoani Mwanza tarehe 22 Januari, 2026.