Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Kepteni Nevi Hamad Bakar Hamad – Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Bluu na Ufugaji Zanzibar, akitoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na tatu tarehe 28 Machi, 2025.