Kanali Issah Bangura (kushoto) na Kanali Bhekisile Audrey Mathonsi (katikati)- Washiriki wa kozi ya Kumi na Nne kutoka Jamhuri ya Sierra Leone na Afrika ya Kusini wakitoa salamu ya heshima wakati wa kupandisha Bendera za nchi zao kuadhimisha kumbukizi ya miaka 65 ya Uhuru wa Jamhuri ya Sierra Leone na miaka 32 ya Jamhuri ya Afrika Kusini yaliyofanyika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi - Tanzania tarehe 27 Aprili, 2026.