Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Kamishina Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania Daniel Jackson Nyambale ambaye ni Mkuu wa Ugaidi na Uhalifu wa Kimataifa akiwasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhala kwa Washiriki wa kozi ya kumi na tatu tarehe 22 Mei, 2025.