Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe - Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa akiwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa Mhadhara juu ya Nafasi ya Majeshi ya Ulinzi katika Maendeleo ya Taifa kwa Washiriki wa Kozi ya Kumi na Mbili tarehe 17/05/24.