Dkt. John Jingu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, akiwasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi
Dkt. John Jingu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, akiwasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 27 Oktoba, 2023.