Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Mhe. Isaac Njenga - Balozi wa Kenya Nchini Tanzania, alipowasili Chuo Cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 08 Aprili 2024.