Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Jenerali Patrick Nyamvumba – Balozi wa Rwanda nchini Tanzania (aliyekaa katikati), katika picha ya pamoja na Brigedia Jenerali SB Gwaya – Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania (wa nne kutoka kushoto waliokaa), Wanakitivo pamoja na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne mara baada ya kutoa mhadhara tarehe 16 Februari, 2026.