Mhe. Giuseppe Sean Coppola – Balozi wa Italia nchini Tanzania (aliyekaa katikati), katika picha ya pamoja na Brigedia Jenerali Charles Ndiege – Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania (wa nne kutoka kushoto waliokaa), Wanakitivo pamoja na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne mara baada ya kutoa mhadhara tarehe 25 Machi, 2026. wa Italia nchini Tanzania, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne.