Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Mhe. Ahn Eunju – Balozi wa Korea nchini Tanzania, alipowasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na tatu tarehe 14 Februari, 2025.