Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongozwa na Brig Gen EE Mhoro - Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Anga ulipotembelea Mkoa wa Njombe katika Ziara ya kimafunzo iliyofayika mkoani humo tarehe 15 Januari, 2024.