Mhe. Jumanne Sagini - Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
Mhe. Jumanne Sagini - Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
Mhe. Jumanne Sagini - Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani, akiwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 24 Oktoba, 2023.