Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Mhe. Profesa Adolf Faustine Mkenda (MB) – Waziri wa Elimu , Sayansi na Tekinolojia, alipowasili Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili yakutoa mhadhala kwa Washiriki wa kozi ya kumi na tatu ya Chuo tarehe 16 Juni, 2025.