Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Mhe. Profesa Ibrahim Juma - Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili tarehe 19 Oktoba 23.