Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura awasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Tanzania
Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura awasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Tanzania
Inspekta Jenerali wa Polisi Camilius Wambura awasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Tanzania kwa ajili ya kutoa Mhadhara unaohusu ”Usalama wa Tanzania na Majukumu ya Jeshi la Polisi” kwa Washiriki wa Kozi ya Kumi na Mbili tarehe 10/06/2024.