Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillius Wambura akitoa Muhtasari kwa Wanakitivo na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania jinsi Jeshi la Polisi linavyo shirikiana na raia wakati wa Ziara ya Kimafunzo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama tarehe 10 March 2026.