Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Dkt. Abdul Suleiman Jumbe- Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi Zanzibar

Dkt. Abdul Suleiman Jumbe- Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi Zanzibar, akitoa mada kwa Washiriki wa Kozi ya 11 ya NDC inayohusu Uchumi wa Bluu: Mwelekeo wa Uchumi Endelevu Aprili 12, 2023.