Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Henry Kulwa (wa tano kulia), akitoa maelezo mafupi kwa Wanakitivo, Washiriki na Watumishi Wasaidizi wakati Chuo cha Taifa cha Ulinzi-Tanzania kilipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mwanza