Bw. Andrew Lentz – Balozi wa Marekani nchini Tanzania (aliyekaa katikati), katika picha ya pamoja na Brigedia Jenerali Charles Ndiege – Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania (wa nne kutoka kushoto waliokaa), Wanakitivo pamoja na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne mara baada ya kutoa mhadhara tarehe 27 Machi, 2026.