Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 12 Mei, 2026 kimempokea Balozi. Dkt. Samweli William Shelukindo - Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne kuhusu Sera ya Mambo ya Nje.