Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 09 Machi, 2026 kimempokea Mhe. Balozi Khamis Mussa Omary (MB) – Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyefika Chuoni kwa ajili ya Ufunguzi wa Kozi Fupi ya Kumi na Saba ya Viongozi.