Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 1 Aprili, 2026 kimempokea Dr. John Jingu – Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne.