Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 13 Machi, 2026 kimempokea Mhe. Dkt. Juma Malik Akil (MB) – Waziri wa Fedha na Mipango Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, aliyefika Chuoni kwa ajili ya Ufungaji wa Kozi Fupi ya Kumi na Saba ya Viongozi.