Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 30 Aprili, 2026 kimempokea Dkt. Natu El-maamry Mwamba – Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne kuhusu Ustawi wa Kiuchumi na Umuhimu wa Usalama wa Taifa la Tanzania.