Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 15 Aprili, 2026 kimempokea Mhe. Gustavo Martins Nogueira – Balozi wa Brazil nchini Tanzania, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Brazil.

slot gacor