Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 17 Machi, 2026 kimempokea Mhe. Theresa Zitting - Balozi wa Finland Nchini Tanzania, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne Kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Finland.