Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali MK Matunda - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali MK Matunda - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu ( wa pili kutoka kulia mstari wa mbele), katika picha ya pamoja na Bw. Robert John Mwalwajo - Ofisa wa kujitolea kuongoza Wageni ( wa tatu kutoka kulia mstari wa mbele), wakati Ujumbe huo ulipotembelea ofisi hiyo wakati walipokuwa katika Ziara ya Kimafunzo tarehe 13 Januari 2025.