Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali MK Matunda - Afisa Mwandamizi Elekezi Jeshi la Nchi Kavu - 2, ukimsikiliza Bw. Luke Daniel Kifyasi - Mkuu wa kitengo Cha Kilimo, Mifugo na Uvuvi (mwenye shati ya blue), wakati Ujumbe ulipotembelea Kiwanda cha kutengeneza asali wakati wa Ziara ya Kimafunzo tarehe 07 Januari, 2025.