Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania ukiongozwa na Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge - Mkuu wa Chuo, ukiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto kwa Ziara ya Kimafunzo tarehe 11 Machi, 2025.