Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi ukiongozwa na Brigedia Jenerali CJ Ndiege –Mkufunzi Mwandamizi Elekezi Jeshi la Ardhini, umetembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani humo tarehe 19 Januari 2024.