Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha ulinzi -Tanzania unaoongozwa na na Brigedia Jenerali EE Mhoro ulipofika katika Mradi wa Shamba la ndizi uliopo katika Wilaya ya Ruangwa wakati wa ziara ya kimafunzo tarehe 11 Jan 24