Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania ukiongozwa na Brigedia Jenerali EE Mhoro – Afisa Mwandamizi Mwelekezi Jeshi la Anga, walipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi wakati wa ziara ya kimafunzo tarehe 9 Januari 24.