Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Ujumbe wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi -Tanzania ukiongonzwa na Meja Jenerali WA Ibuge, ulipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa tarehe 19 Februari, 2024.