Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Dkt. John Jingu – Katibu Mkuu Wizara ya Afya, aliyekuja Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili ya Chuo tarehe 02/10/23.