Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 26 Juni, 2024.