Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Mhe. Dkt. Tulia Ackson – Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne tarehe 17 Octoba, 2025.