Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 17 Octoba, 2025 kimempokea Mhe. Jumanne Abdallah Sagini (MB) - Naibu Waziri wa Sheria na Katiba.
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 17 Octoba, 2025 kimempokea Mhe. Jumanne Abdallah Sagini (MB) - Naibu Waziri wa Sheria na Katiba.
Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, tarehe 17 Octoba, 2025 kimempokea Mhe. Jumanne Abdallah Sagini (MB) - Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, aliyefika Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na Nne.