Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Mhe. David Akhigbe – Mwakilishi wa Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania, aliyekuja Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili tarehe 09 Aprili 2024.