Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimempokea Bwana Gerald Geofrey Mweli – Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, aliyekuja Chuoni kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa Kozi ya kumi na mbili ya Chuo tarehe 11/12/23.