Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania, kimepokea Ujumbe kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Usalama kutoka Nigeria, walipokuwa katika ziara ya kimafunzo Chuoni tarehe 19 Juni 2024.