Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Profesa Adolf Mkenda (MB) – Waziri wa Elimu, akiwasili Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi – Tanzania kwa ajili ya kutoa mhadhara kwa Washiriki wa kozi ya kumi na mbili tarehe 12 Juni, 2024.