Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Profesa Palamagamba Aidani Kabudi (MB) – Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalumu (aliyekaa katikati), katika picha ya pamoja na Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge - Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania (wa nne kutoka kushoto waliokaa), Wanakitivo pamoja na Washiriki wa Kozi ya Kumi na Nne mara baada ya kutoa mhadhara tarehe 27 Machi, 2026.